Mwanzo 4:20 - Swahili Revised Union Version20 Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ada akamzaa Yabali; huyu akawa baba wa wale wanaoishi katika mahema na kufuga wanyama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama. Tazama sura |