Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 4:19 - Swahili Revised Union Version

19 Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Lameki alioa wanawake wawili: mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 4:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.


Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.


Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.


Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama.


Lameki akawaambia wake zake, Sikieni sauti yangu, Ada na Sila; Enyi wake za Lameki, sikilizeni ninachosema; Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha; Kijana kwa kunichubua;


Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike.


Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo