Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 4:18 - Swahili Revised Union Version

18 Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Idrisi akamzaa Iradi; Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; naye Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Idrisi akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 4:18
5 Marejeleo ya Msalaba  

Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;

Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.

Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila.

Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.

Methusela akaishi miaka mia moja na themanini na saba, akamzaa Lameki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo