Mwanzo 4:21 - Swahili Revised Union Version21 Na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba ya wote wapigao kinubi na filimbi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba ya wote wapigao kinubi na filimbi. Tazama sura |