Mwanzo 39:15 - Swahili Revised Union Version15 Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Aliposikia nikipiga yowe, akaacha vazi lake kando yangu, akakimbilia nje.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Aliposikia kelele za kuomba msaada, akaacha vazi lake kando yangu akakimbilia nje.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje. Tazama sura |