Mwanzo 38:3 - Swahili Revised Union Version3 Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 naye akapata mimba, na akamzaa mwana, aliyeitwa jina Eri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri. Tazama sura |