Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 38:4 - Swahili Revised Union Version

4 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akamwita jina lake Onani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Akapata mimba nyingine, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Onani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Akapata mimba nyingine, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Onani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Akapata mimba nyingine, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Onani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita jina Onani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akamwita jina lake Onani.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 38:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto wa kiume kwa msaada wa BWANA.


Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.


Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.


Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo