Mwanzo 34:4 - Swahili Revised Union Version4 Shekemu akamwambia Hamori, babaye, akasema, Unipatie msichana huyu awe mke wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kwa hiyo, Shekemu akazungumza na Hamori baba yake, akamwambia, “Tafadhali, niombee huyo msichana nimwoe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kwa hiyo, Shekemu akazungumza na Hamori baba yake, akamwambia, “Tafadhali, niombee huyo msichana nimwoe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kwa hiyo, Shekemu akazungumza na Hamori baba yake, akamwambia, “Tafadhali, niombee huyo msichana nimwoe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Shekemu akamwambia Hamori, baba yake, “Nipatie msichana huyu awe mke wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Shekemu akamwambia baba yake Hamori, “Nipatie msichana huyu awe mke wangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Shekemu akamwambia Hamori, babaye, akasema, Unipatie msichana huyu awe mke wangu. Tazama sura |