Mwanzo 34:18 - Swahili Revised Union Version18 Maneno yao yakawa mema machoni pa Hamori, na machoni pa Shekemu, mwana wa Hamori. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Pendekezo lao likakubalika kwa Hamori na Shekemu mwanawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Pendekezo lao likawa jema kwa Hamori na Shekemu mwanawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Maneno yao yakawa mema machoni pa Hamori, na machoni pa Shekemu, mwana wa Hamori. Tazama sura |