Mwanzo 34:17 - Swahili Revised Union Version17 Lakini kama hamtusikii na kutahiriwa, basi tutamtwaa binti yetu, nasi tutakwenda zetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua dada yetu na kuondoka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Lakini kama hamtusikii na kutahiriwa, basi tutamtwaa binti yetu, nasi tutakwenda zetu. Tazama sura |