Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 3:3 - Swahili Revised Union Version

3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 3:3
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akamwambia katika ndoto, Nami nimejua ya kwamba kwa ukamilifu wa moyo wako umefanya hivi, ndipo nami nikakuzuia usinitendee dhambi, kwa hiyo sikukuacha umguse.

Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;

Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.

Lakini nyosha mkono wako sasa, uyaguse hayo yote aliyo nayo, naye atakukufuru mbele za uso wako.

Nihurumieni, nihurumieni, enyi rafiki zangu, Kwa maana mkono wa Mungu umenigusa.

Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.

Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

Msishike, msionje, msiguse;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo