Mwanzo 3:2 - Swahili Revised Union Version2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyo katika bustani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; Tazama sura |