Mwanzo 29:5 - Swahili Revised Union Version5 Akawauliza, Je! Mnamjua Labani, mwana wa Nahori? Wakasema, Tunamjua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Aliwaambia, “Je, mnamjua Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akawauliza, Je! Mnamjua Labani, mwana wa Nahori? Wakasema, Tunamjua. Tazama sura |