Mwanzo 29:4 - Swahili Revised Union Version4 Yakobo akawauliza, Ndugu zangu, ninyi ni watu wa wapi? Wakasema, Sisi tu wa Harani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yakobo akawauliza wachungaji, “Ndugu zangu, mmetoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yakobo akawauliza wachungaji, “Ndugu zangu, mmetoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yakobo akawauliza wachungaji, “Ndugu zangu, mmetoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Yakobo aliwauliza wachungaji, “Ndugu zangu, ninyi mmetoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Yakobo aliwauliza wachungaji, “Ndugu zangu, ninyi mmetoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Yakobo akawauliza, Ndugu zangu, ninyi ni watu wa wapi? Wakasema, Sisi tu wa Harani. Tazama sura |