Mwanzo 27:32 - Swahili Revised Union Version32 Isaka, baba yake, akamwuliza, U nani wewe? Akasema, Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Isaka baba yake akamuuliza, “Wewe ni nani?” Akamjibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Isaka baba yake akamuuliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Isaka, baba yake, akamwuliza, U nani wewe? Akasema, Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza. Tazama sura |