Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 27:31 - Swahili Revised Union Version

31 Naye pia amefanya chakula kitamu akamletea babaye, akamwambia baba yake. Babangu na ainuke, ale mawindo ya mwanawe, ili uweze kunibariki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Esau pia akatengeneza chakula kitamu, akampelekea baba yake, akamwambia, “Haya baba, inuka ule mawindo yangu mimi mwanao, ili upate kunibariki!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Esau pia akatengeneza chakula kitamu, akampelekea baba yake, akamwambia, “Haya baba, inuka ule mawindo yangu mimi mwanao, ili upate kunibariki!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Esau pia akatengeneza chakula kitamu, akampelekea baba yake, akamwambia, “Haya baba, inuka ule mawindo yangu mimi mwanao, ili upate kunibariki!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Naye pia akaandaa chakula kitamu, akamletea baba yake. Kisha akamwambia, “Baba yangu, keti ule sehemu ya mawindo yangu, ili upate kunibariki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Naye pia akaandaa chakula kitamu akamletea baba yake. Kisha akamwambia, “Baba yangu, keti ule sehemu ya mawindo yangu, ili upate kunibariki.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

31 Naye pia amefanya chakula kitamu akamletea babaye, akamwambia baba yake, Babangu na ainuke, ale mawindo ya mwanawe, ili aweze kunibariki.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 27:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda, akawatwaa, akamletea mamaye. Mamaye akafanya chakula kitamu namna ile aliyopenda babaye.


Yakobo akamwambia babaye, Mimi ni Esau, mzaliwa wako wa kwanza, nimefanya kama ulivyoniambia. Inuka, tafadhali, ukae kitako, ule mawindo yangu, ili roho yako inibariki.


Ikawa Isaka alipokwisha kumbariki Yakobo, na punde tu baada ya Yakobo kutoka mbele ya Isaka, babake, mara Esau ndugu yake akaja kutoka katika kuwinda kwake.


ukaniandalie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo