Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 26:26 - Swahili Revised Union Version

26 Ndipo Abimeleki akamwendea kutoka Gerari, pamoja na Ahuzathi rafiki yake, na Fikoli, jemadari wa jeshi lake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Abimeleki alitoka Gerari akiwa pamoja na Ahuzathi, mshauri wake, na Fikoli mkuu wa jeshi lake, akamwendea Isaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Abimeleki alitoka Gerari akiwa pamoja na Ahuzathi, mshauri wake, na Fikoli mkuu wa jeshi lake, akamwendea Isaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Abimeleki alitoka Gerari akiwa pamoja na Ahuzathi, mshauri wake, na Fikoli mkuu wa jeshi lake, akamwendea Isaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Wakati huo, Abimeleki alikuwa amemjia kutoka Gerari, akifuatana na Ahuzathi mshauri wake, pamoja na Fikoli jemadari wa majeshi yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Wakati huo, Abimeleki alikuwa amemjia kutoka Gerari, akifuatana na Ahuzathi mshauri wake, pamoja na Fikoli jemadari wa majeshi yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Ndipo Abimeleki akamwendea kutoka Gerari, pamoja na Ahuzathi rafiki yake, na Fikoli, jemadari wa jeshi lake.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 26:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia, Umekuwa mfu wewe kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemtwaa, maana ni mke wa mtu.

Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo