Mwanzo 26:25 - Swahili Revised Union Version25 Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Isaka akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la Mwenyezi Mungu. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Isaka akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la bwana. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko. Tazama sura |