Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 26:27 - Swahili Revised Union Version

27 Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu, na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 26:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu.


Abimeleki akamwambia Isaka, Utoke kwetu, maana wewe una nguvu sana kuliko sisi.


Wakasema, Hakika tuliona ya kwamba BWANA alikuwa pamoja nawe; nasi tukasema, Na tuapiane, sisi na wewe, na kufanya mapatano nawe


Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.


Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi juu yetu?


Musa huyo waliyemkataa, wakisema, Ni nani aliyekuweka kuwa mkuu na mwamuzi? Ndiye aliyetumwa na Mungu kuwa mkuu na mkombozi, kwa mkono wa yule malaika aliyemtokea katika kile kichaka.


Wale wazee wetu wakimwonea wivu Yusufu, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja naye,


Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.


Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, Je! Ninyi hamkunichukia mimi na kunifukuza nitoke katika nyumba ya baba yangu? Kwa nini basi mnanijia hivi sasa wakati mkiwa katika taabu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo