Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:5 - Swahili Revised Union Version

5 Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Yule mtumishi akamuuliza, “Je, itakuwaje huyo mwanamke akikataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimrudishe mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami.

bali nenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.

Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.

Abrahamu akamwambia, Ujihadhari, usimrudishe mwanangu huko.

Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia,

Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa; Bali mpumbavu hueneza upumbavu.

nawe utaapa hivi, Kama BWANA aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watabarikiwa na yeye, nao watajitukuza katika yeye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo