Mwanzo 24:42 - Swahili Revised Union Version42 Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 “Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 “Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 “Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 “Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 “Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi, Tazama sura |