Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:41 - Swahili Revised Union Version

41 Ndipo utafunguliwa kiapo changu hapo utakapowafikia jamaa zangu; hata wasipokupa msichana huyo, utafunguliwa kiapo changu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Kama utakapofika kwa jamaa zangu hawatakupa huyo msichana, basi, hutafungwa na kiapo changu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Kama utakapofika kwa jamaa zangu hawatakupa huyo msichana, basi, hutafungwa na kiapo changu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Kama utakapofika kwa jamaa zangu hawatakupa huyo msichana, basi, hutafungwa na kiapo changu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Kisha, utakapoenda kwenye ukoo wangu, utakuwa umefunguliwa kutoka kiapo changu. Hata wakikataa kukupa huyo binti, utakuwa umefunguliwa kutoka kiapo changu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Kisha, utakapokwenda kwenye ukoo wangu, utakuwa umefunguliwa kutoka kiapo changu hata kama wakikataa kukupa huyo binti, utakuwa umefunguliwa kutoka kiapo changu.’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

41 Ndipo utafunguliwa kiapo changu hapo utakapowafikia jamaa zangu; hata wasipokupa msichana huyo, utafunguliwa kiapo changu.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:41
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi,

na yule mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi, utafunguliwa kiapo changu hiki; lakini usimrudishe mwanangu huko.

ili uingie katika agano la BWANA, Mungu wako, na kiapo chake, afanyacho nawe BWANA, Mungu wako, hivi leo;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo