Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 21:27 - Swahili Revised Union Version

27 Abrahamu akatwaa kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki, na hao wawili wakafanya mapatano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Basi, Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki nao wawili wakafanya agano baina yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Hivyo Ibrahimu akaleta kondoo na ng’ombe, akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Hivyo Ibrahimu akaleta kondoo na ng’ombe akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Abrahamu akatwaa kondoo na ng'ombe akampa Abimeleki, na hao wawili wakafanya mapatano.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 21:27
15 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; aliyekuwa akikaa karibu na mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.


Abimeleki akasema, Mimi sijui ni nani aliyetenda neno hili, wala hukuniambia, wala sikusikia habari hii ila leo tu.


Abrahamu akawaweka wana-kondoo saba wa kike peke yao.


Haya! Na tufanye agano, mimi na wewe, liwe kwa ushahidi kati ya mimi na wewe.


Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.


Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu.


Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.


Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni humliza ghadhabu kali.


Bali muungwana huwaza mambo ya kiungwana, naye hushika sana mambo ya kiungwana.


akawatwaa baadhi ya wazao wa kifalme; kisha akafanya agano naye, akamwapisha; akawaondoa watu wa nchi wenye nguvu;


wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;


Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno.


Nao Yonathani na Daudi wakaahidiana, kwa kuwa alimpenda kama roho yake mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo