Mwanzo 21:28 - Swahili Revised Union Version28 Abrahamu akawaweka wana-kondoo saba wa kike peke yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Abrahamu akatenga wanakondoo wa kike saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ibrahimu akatenga kondoo jike saba kutoka kwa kundi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ibrahimu akatenga kondoo wa kike saba kutoka kwenye kundi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Abrahamu akawaweka wana-kondoo majike saba peke yao. Tazama sura |