Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 19:6 - Swahili Revised Union Version

6 Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Loti akatoka nje, akafunga mlango nyuma yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Lutu akatoka nje kuongea nao, akaufunga mlango nyuma yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Lutu akatoka nje kuonana nao, akaufunga mlango nyuma yake,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 19:6
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wako wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwalete kwetu, ili tuweze kuwajua kimwili.


Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.


Naye mwenye nyumba akawatokea hapo nje, na kuwaambia, La, sivyo, ndugu zangu nawasihi msifanye uovu jinsi hii; kwa kuwa mtu huyu ameingia ndani ya nyumba yangu, msifanye upumbavu huu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo