Mwanzo 18:16 - Swahili Revised Union Version16 Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Abrahamu akaenda pamoja nao awasindikize. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ndipo wale watu wakaondoka, wakafika mahali walipoweza kuona mji wa Sodoma; naye Abrahamu akawasindikiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ndipo wale watu wakaondoka, wakafika mahali walipoweza kuona mji wa Sodoma; naye Abrahamu akawasindikiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ndipo wale watu wakaondoka, wakafika mahali walipoweza kuona mji wa Sodoma; naye Abrahamu akawasindikiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Watu hao waliposimama ili waondoke, walielekeza nyuso zao Sodoma, naye Ibrahimu akatembea nao ili awasindikize. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wakati watu hao waliposimama ili waondoke, walielekeza nyuso zao Sodoma, Ibrahimu akawatoa kitambo kidogo ili awasindikize. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Abrahamu akaenda pamoja nao awasindikize. Tazama sura |