Mwanzo 15:12 - Swahili Revised Union Version12 Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Jua lilipokuwa likitua, Abramu alishikwa na usingizi mzito; hofu na giza nene vikamfunika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, na giza nene na la kutisha likaja juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia. Tazama sura |