Mwanzo 15:11 - Swahili Revised Union Version11 Na tai walipotua juu ya mizoga Abramu akawafukuza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Na tai walipoijia hiyo mizoga, Abramu akawa anawafukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Na tai walipoijia hiyo mizoga, Abramu akawa anawafukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Na tai walipoijia hiyo mizoga, Abramu akawa anawafukuza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha ndege walao nyama wakatua juu ya mizoga, lakini Abramu akawafukuza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha ndege walao nyama wakatua juu ya mizoga, lakini Abramu akawafukuza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na tai walipotua juu ya mizoga Abramu akawafukuza. Tazama sura |