Mwanzo 11:25 - Swahili Revised Union Version25 Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia moja na kumi na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka mia moja na kumi na tisa (119), akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia moja na kumi na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama sura |