Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 11:24 - Swahili Revised Union Version

24 Nahori akaishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Nahori alipokuwa ameishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Nahori akaishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 11:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia moja na kumi na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu moja, visu ishirini na tisa;


wa Yakobo, wa Isaka, wa Abrahamu, wa Tera, wa Nahori,


Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng'ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo