Mwanzo 11:26 - Swahili Revised Union Version26 Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Tera alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na baadaye akawazaa Nahori na Harani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Tazama sura |