Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 11:12 - Swahili Revised Union Version

12 Arfaksadi akaishi miaka thelathini na mitano, akamzaa Sela.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Arfaksadi alipokuwa ameishi miaka thelathini na tano, akamzaa Shela.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Arfaksadi akaishi miaka thelathini na mitano, akamzaa Sela.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 11:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Arfaksadi akamzaa Sela, Sela akamzaa Eberi.


Shemu akaishi baada ya kumzaa Arfaksadi miaka mia tano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Arfaksadi akaishi baada ya kumzaa Sela miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Na Arfaksadi akamzaa Sala, na Sala akamzaa Eberi.


wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo