Mwanzo 11:13 - Swahili Revised Union Version13 Arfaksadi akaishi baada ya kumzaa Sela miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Baada ya kumzaa Shela, Arfaksadi aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Baada ya kumzaa Shela, Arfaksadi aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Baada ya kumzaa Shela, Arfaksadi aliishi miaka 403 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Baada ya kumzaa Shela, Arfaksadi aliishi miaka mia nne na tatu (403), akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Arfaksadi akaishi baada ya kumzaa Sela miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama sura |