Mika 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Kwa maana, angalieni, BWANA anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Tazama! Mwenyezi Mungu anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Tazama! bwana anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Kwa maana, angalieni, BWANA anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka. Tazama sura |
Na siku hiyo miguu yake itasimama juu ya mlima wa Mizeituni, unaoelekea Yerusalemu upande wa mashariki, nao mlima wa Mizeituni utapasuka katikati yake, upande wa mashariki na upande wa magharibi; litakuwako huko bonde kubwa sana; na nusu ya mlima ule utaondoka kwenda upande wa kaskazini, na nusu yake itaondoka kwenda upande wa kusini.