Mhubiri 4:2 - Swahili Revised Union Version2 Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Nami nikasema kwamba wafu, waliokwisha kufa, wana furaha kuliko watu walio hai, ambao bado wanaishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Nami nikasema kwamba wafu, waliokwisha kufa, wana furaha kuliko watu walio hai, ambao bado wanaishi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado; Tazama sura |