Methali 30:7 - Swahili Revised Union Version7 Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Ninakuomba vitu viwili, Ee Mwenyezi Mungu; usininyime kabla sijafa: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Ninakuomba vitu viwili, Ee bwana; usininyime kabla sijafa: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Tazama sura |