Methali 30:8 - Swahili Revised Union Version8 Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Uniondolee uongo na udanganyifu; usinipe umaskini wala utajiri; unipatie chakula ninachohitaji, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Uniondolee uongo na udanganyifu; usinipe umaskini wala utajiri; unipatie chakula ninachohitaji, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Uniondolee uongo na udanganyifu; usinipe umaskini wala utajiri; unipatie chakula ninachohitaji, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; usinipe umaskini wala utajiri, bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; usinipe umaskini wala utajiri, bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Tazama sura |