Methali 30:6 - Swahili Revised Union Version6 Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo. Tazama sura |