Methali 30:12 - Swahili Revised Union Version12 Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kuna watu ambao hujiona kuwa wema, kumbe bado hawajatakaswa uchafu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kuna watu ambao hujiona kuwa wema, kumbe bado hawajatakaswa uchafu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kuna watu ambao hujiona kuwa wema, kumbe bado hawajatakaswa uchafu wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 ambao ni safi machoni pao wenyewe lakini hawakuoshwa uchafu wao; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 wale ambao ni safi machoni pao wenyewe kumbe hawakuoshwa uchafu wao; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao. Tazama sura |