Methali 30:13 - Swahili Revised Union Version13 Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kuna na wengine – kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kuna na wengine – kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kuna na wengine — kiburi ajabu! hudharau kila kitu wanachokiona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 ambao daima macho yao ni ya kiburi, na kutazama kwao ni kwa dharau; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana. Tazama sura |