Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 3:19 - Swahili Revised Union Version

19 Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kwa hekima Mwenyezi Mungu aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kwa hekima bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;

Tazama sura Nakili

Methali 3:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! Sema, kama una ufahamu.

Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.

Yeye aliyeumba mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.

BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.

Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.

Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.

Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo