Methali 28:4 - Swahili Revised Union Version4 Wao waiachao sheria huwasifu waovu; Bali wao waishikao hushindana nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wale wanaoacha sheria huwasifu waovu, bali wale wanaotii sheria huwapinga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wao waiachao sheria huwasifu waovu; Bali wao waishikao hushindana nao. Tazama sura |
Siku hizo niliona katika Yuda watu wengine waliosindika zabibu ili kupata mvinyo siku ya sabato, na wengine waliochukua miganda, na kuwapakia punda zao; tena na mvinyo, na zabibu, na tini, na namna zote za mizigo, waliyoileta Yerusalemu, siku ya sabato; nami nikashuhudia juu yao siku ile waliyouza vyakula.