Methali 28:5 - Swahili Revised Union Version5 Watu waovu hawaelewi na haki; Bali wamtafutao BWANA huelewa na zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wapotovu hawaelewi haki, bali wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu wanaielewa kikamilifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao bwana wanaielewa kikamilifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Watu waovu hawaelewi na hukumu; Bali wamtafutao BWANA huelewa na yote. Tazama sura |