Methali 28:3 - Swahili Revised Union Version3 Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mtawala anayewadhulumu maskini, ni kama mvua ya dhoruba inayoharibu mazao yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. Tazama sura |