Methali 27:7 - Swahili Revised Union Version7 Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu. Tazama sura |