Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 27:6 - Swahili Revised Union Version

6 Majeraha utiwazo na rafiki ni ya kweli; Bali busu la adui ni udanganyifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Majeraha kutoka kwa rafiki yaonesha uaminifu, lakini adui huzidisha busu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Jeraha utiwazo na rafiki ni amani; Bali busu la adui ni udanganyifu.

Tazama sura Nakili




Methali 27:6
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mwenye haki na anipige, itakuwa fadhili; Anikemee, itakuwa kama mafuta kichwani; Kichwa changu kisikatae, Maana siachi kusali kati ya mabaya yao.


Yeye afichaye chuki ana midomo ya uongo, Na yeye asingiziaye ni mpumbavu.


Machubuko ya fimbo husafisha uovu, Na mapigo hufikia ndani ya mtima.


Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.


Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.


Maana ni hakika, hao kwa siku chache waliturudi kama walivyoona vema wenyewe; bali yeye kwa faida yetu, ili tuushiriki utakatifu wake.


Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo