Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 24:17 - Swahili Revised Union Version

17 Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati anapojikwaa, usiruhusu moyo wako ushangilie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo;

Tazama sura Nakili




Methali 24:17
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.


Kama nilifurahi kwa kuangamia kwake huyo aliyenichukia, Au kujitukuza alipopatikana na maovu;


Lakini nikijikwaa wanafurahi na kukusanyana, Walinikusanyikia watu ovyo nisiowajua, Wakanipapura bila kukoma.


Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.


Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?


Amchekaye maskini humtukana Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.


BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.


Lakini usiitazame siku ya ndugu yako, siku ya mashaka yake, wala usisimange juu ya wana wa Yuda siku ya kuangamizwa kwao; wala usinene maneno ya kiburi katika siku ya shida yao.


Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu.


Ikawa mioyo yao iliposhangilia, wakasema, Mwiteni Samsoni, ili atufanyie michezo. Basi wakamwita Samsoni atoke gerezani, akacheze mbele yao wakamweka katikati ya nguzo mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo