Methali 24:18 - Swahili Revised Union Version18 BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Mwenyezi Mungu asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake. Tazama sura |