Methali 24:15 - Swahili Revised Union Version15 Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki; Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Usivizie kama mwovu kushambulia makao ya mtu mwema, wala usijaribu kuiharibu nyumba yake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Usivizie kama mwovu kushambulia makao ya mtu mwema, wala usijaribu kuiharibu nyumba yake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Usivizie kama mwovu kushambulia makao ya mtu mwema, wala usijaribu kuiharibu nyumba yake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia makao ya mwenye haki, wala usiyavamie makazi yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia makao ya mwenye haki, wala usiyavamie makazi yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki; Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika; Tazama sura |