Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 21:3 - Swahili Revised Union Version

3 Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko dhabihu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa bwana kuliko dhabihu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.

Tazama sura Nakili




Methali 21:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la kitabu nimeandikiwa,)


Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.


Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.


Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.


BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma;


na kumpenda yeye kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, kwafaa kuliko sadaka nzima za kuteketezwa na dhabihu zote pia.


Naye Samweli akasema, Je! BWANA huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya BWANA? Angalia, kutii ni bora kuliko dhabihu, Na kusikiza ushauri kuliko mafuta ya beberu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo